📰 Plugins Autoheight News
Page 146 - Plugins Autoheight News Today
Fast, Ad-Free News Updates
Stay updated with breaking news from Plugins Autoheight. Real-time updates on events, politics, business and more.
May 6, 2021
Prof Jay "Basata Kufanya Majaribio Katika Ajira Zetu Haikubali" Star wa hip-hop nchini @professorjaytz ameingilia kati sakata linaloendelea kwa sasa linalohusisha sheria mpya iliyopitishwa na baraza la sanaa nchini ya kuzipitia nyimbo za wasanii kabla ya kupeleka kwenye vituo vya redio na tv #ProfJay ameitaka serikali iliangalie swala hili kwani linawaumiza wasanii na kuikandamiza sanaa na kuongeea kuwa sanaa ni ajira kamili kwao "SERIKALI na @basata.tanzania mna wajibu mkubwa sana wa kuhakikis...
May 6, 2021
Mjini kuna mambo! Hivi karibuni msanii mkubwa wa muziki wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliposti picha akiwa akiwa kwenye pozi la kimahaba na zilipendwa wake Zarinah Hassan ‘Zari the boss lady’ jambo lililozua maswali mengi huko mjini Instagram. Miongoni mwa maswali ambayo watu wengi walikuwa wanajiuliza ni kwamba je? Wawili hao tayari wamesha rudiana? Lakini mpaka sasa bado haijathibitika licha ya kwamba kaka mkubwa wa staa huyo Romy Jons tayari ameshaanza kujiita kuwa yeye ni sh...
May 6, 2021
Kauli ya Rais Samia kuhusu Corona Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu, amesema kuwa serikali imeanza mchakato wa kutafakari mbinu juu ya namna ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona, na kusisitiza kuwa wataalamu watakapotoa mapendekezo haitosta kushirikiana na Kenya katika kukabiliana na ugonjwa huo. Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2021, nchini Kenya wakati alipohutubia mabunge mawili ya nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha mahusiano kati ya nch...
May 6, 2021
Vile Nilivyolipisha Kisasi Kwa Majambazi Walionivamia Nyumbani Wakati mmoja hapo mbeleni nilipokuwa natoka kazini, nilikumbwa na masahibu ya ajabu. Nilikuwa katika gari langu nikiliendesha kuelekea nyumbani. Nilikuwa najihisi mchovu sana na hamu ya kufika nyumbani kupumzika ilikuwa kubwa mno. Wakati huo huo, kulikuwa na gari kubwa, aina ya landrover likinifuata nyuma pasi na kujuwa. Ilikuwa mwendo wa saa moja. Giza lilikuwa limeanza kutanda na mataa za magari mengine zilikuwa zawaka na...
May 6, 2021
Nintendo expects decline in Switch sales Nintendo expects decline in Switch sales May 06, 2021 Share To: Nintendo has signalled that sales of its Switch console are likely to have peaked after five years on sale and following a lockdown-driven boom. Share
May 6, 2021
TAARIFA kutoka ndani ya kambi za Yanga zinasema kuwa, Juzi Jumatatu madaktari wa kikosi hicho, walilazimika kuwakimbiza hospitali nyota wake wawili ambao ni Carlos Carlinhos na beki wao Dickson Job, lengo ni kuhakikisha wanarejea kikosini mapema kabla ya kuvaana na Simba. Carlinhos aliumia kwenye mchezo wa FA, dhidi ya Prisons, mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, wakati Job yeye aliumia wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC. Chanzo chetu kut...
May 6, 2021
Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani: DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
May 6, 2021
ICC yamhukumu kiongozi wa zamani wa LRA Dominic Ongwen kifungo cha miaka 25 Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa jinai ICC imemhukumu kifungo cha miaka 25 kiongozi wa zamani wa waasi wa Lords Resistance Army,LRA Dominic Ongwen. Dominic Ongwen, anayefahamika kama White Ant, alipatikana na zaidi ya makosa 60 ikiwa ni pamoja na uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita. Waendesha mashtaka wanasema kuwa Bw. Ongwen amepewa adhabu ndogo kwasababu alikuwa ametekwa na LRA akiwa mtoto mdogo. Kundi h...
May 6, 2021
New U.S. jobless claims break below 500k New U.S. jobless claims break below 500k May 06, 2021 Share To: Initial claims for state unemployment benefits tumbled to a seasonally adjusted 498,000 for the week ended May 1, the Labor Department said on Thursday, marking the lowest reading in 13 months. Share
May 6, 2021
Woman gives birth to nine babies Woman gives birth to nine babies May 06, 2021 Share To: A 25-year-old Malian woman has given birth to nine babies - two more than doctors had detected during scans. Share