Biggest News Aggregation in the World
📰 Plugins Autoheight News

Page 147 - Plugins Autoheight News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Plugins Autoheight. Real-time updates on events, politics, business and more.

Sababu ya ongezeko la mstuko wa moyo "heart attack" katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan duniani

Sababu ya ongezeko la mstuko wa moyo “heart attack” katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan duniani Sababu ya ongezeko la mstuko wa moyo “heart attack” katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan duniani   Katika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa jumla kuna  nchi ambazo  raia wake wanafunga  saumu hii tukufu kama nguzo moja kati ya tano za kiislaam. Chakula cha jioni au kama kinavyojulikana IFTAR/FUTARI mbali ya kuwa na aina mbali mbali za vy...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Mbunge Alia na Wingi wa Wanafunzi

Mbunge Alia na Wingi wa Wanafunzi Mbunge wa Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu wana watoto wengi wa darasa la kwanza akidai wanatokana na wananchi wa eneo hilo kuzaliana sana.   “Tutakapofika mbali naamini shule za sekondari hazitaweza kutosha Vituka, Tandika. Naibu Waziri utakapokwenda na mbunge wa Mbagala upo tayari kwenda na Temeke,” amehoji Dorothy katika swali lake la nyongeza leo Jumatano Mei 5, 2021 bunge...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Halima Mdee Na Wenzake Wafutiwa Mashtaka Kisutu

Halima Mdee Na Wenzake Wafutiwa Mashtaka Kisutu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Mei 5, 2021 imefuta kesi ya kufanya mkusanyiko na kutotii amri halali katika geti la Gereza la Segerea iliyokuwa inawakabili watu 27 akiwemo Halima Mdee na wabunge wenzake wawili baada ya upande wa mashtaka kutopeleka mashahidi kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri hilo.   Jumla ya watu 27 walikuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ambayo ni kukaidi amri, kufanya mkusanyiko usio halalu na kuharibu geti la gereza la...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Stay Updated with Latest News

Get breaking news updates delivered to your inbox

Browse All News →

Harmorapa Aibuka, Adai Mtoto wa AMBER LULU ni wake ''Damu ya Mtu Haipotei, SURA inajieleza''

Harmorapa Aibuka, Adai Mtoto wa AMBER LULU ni wake Damu ya Mtu Haipotei, SURA inajieleza HARMORAPA aibuka, adai mtoto wa AMBER LULU ni wake Damu ya mtu haipotei, SURA inajieleza VIDEO:   DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

HII Ndiyo DNA ya Kitamaduni Kabisa Yenye Ukweli 90% Kujua Kama Mtoto ni Wako Au Umebambikiziwa

HII Ndiyo DNA ya Kitamaduni Kabisa Yenye Ukweli 90% Kujua Kama Mtoto ni Wako Au Umebambikiziwa Hapo nyuma nilikuwa nikiambiwa kuwa Wazee ni dawa na hazina hasa katika kutupatia Maarifa sisi Vijana na Wajukuu zao nilikuwa sitaki kuamini na kuna wakati hata nilikuwa nikimwona tu Mtu Mzee au Bibi basi nawapuuza tu nikiamini kwamba hawana jipya tena. Hali hii ilibadilika taratibu baada ya kuanza sasa kupenda kukaa na Wazee mara kwa mara ili niweze kuchota hekima na busara zao na kwa kweli tokea nia...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Baba Amchoma Kisu Mtoto na Yeye kujiua Kisa Ukimwi

Baba Amchoma Kisu Mtoto na Yeye kujiua Kisa Ukimwi Baba Amchoma Kisu Mtoto na Yeye kujiua Kisa Ukimwi    Shija Mwanzalima (30) amemchoma na kisu tumboni mtoto wake wa kambo Rachel Erasto (3), kisha kujichoma na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na kujinyonga mpaka kufa, baada ya kugundulika ameathirika na Virusi vya Ukimwi peke yake huku mkewe akiwa hajaathirika.   Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Geita Henry Mwaibambe, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mwanaume huyo a...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Biden aongeza uwezo wa Marekani kupokea wakimbizi

Biden aongeza uwezo wa Marekani kupokea wakimbizi Biden aongeza uwezo wa Marekani kupokea wakimbizi Rais Joe Biden ametangaza kwamba anaongeza mara nne ya idadi ya wakimbizi watakaoruhusiwa kuingia Marekani mwaka huu  Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:   DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Saudi Aramco beats quarterly profit forecast - EXCELSIO | News & Information

Saudi Aramco beats quarterly profit forecast Saudi Aramco beats quarterly profit forecast May 04, 2021 Excelsio Media Share To: State-run oil producer Saudi Aramco reported a first-quarter net profit of $19.5 billion, a 30% rise, on the back of rising crude prices and higher refining margins. Share
Animationend Msanimationend Michael Haszprunar Gian Carlo Mingati Plugins Autoheight Scott Waye Width Default

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science