Vita vya Afghanistan: Taliban yarejelea ukatili wanapofanya mashambulio ya kurudi madarakani
Watawala wa zamani wa Afghanistan wamerejelea utekelezaji wa adhabu ya kikatili, BBC yabaini baada ya kufuatilia mienendo ya Taliban.
Source: bbc.com