vimarsana.com

வழியாக அர்ப்பணிப்பு News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Wake wa marais: Mfahamu mke wa rais wa DRC Denise Nyakeru Nkana Tshisekedi

Wake wa marais: Mfahamu mke wa rais wa DRC Denise Nyakeru Nkana Tshisekedi Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Denise Nyakeru/Facebook Maelezo ya picha, Hadithi ya maisha ya Bi Denise Tshisekedi imekuwa na kusikitisha kwa upande mmoja na upande mwingine ya kutia moyo Ni watu wenye ushawishi katika uongozi wa kila siku wa nchi zao, hata hivyo si kila siku utasikia juu ya maisha yao na vipawa vyao. Hawa ni wenza wa marais, ambao baadhi yao ni wanasiasa na wanaharakati ambao wamekuwa bega kwa bega katika safari za kisiasa za wenza wao mpaka kushika hatamu za madaraka. Wiki hii tunakuletea mfululizo wa makala kuhusu wenza wa marais katika eneo la Afrika Mashariki na Maziwa Makuu ambapo leo

Mke wa rais: Mfahamu Angeline Ndayubaha Ndayishimiye mke wa rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye

Mke wa rais: Mfahamu Angeline Ndayubaha Ndayishimiye mke wa rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Dinah Gahamanyi Imeboreshwa 19 Julai 2021, 11:09 EAT Chanzo cha picha, Angeline Ndayizeye Ni watu wenye ushawishi katika uongozi wa kila siku wa nchi zao, hata hivyo si kila siku utasikia juu ya maisha yao na vipawa vyao. Hawa ni wenza wa marais, ambao baadhi yao ni wanasiasa na wanaharakati ambao wamekuwa bega kwa bega katika safari za kisi a sa za wenza wao mpaka kushika hatamu za madaraka. Wiki hii tunakuletea mfululizo wa makala kuhusu wenza wa marais katika eneo la Afrika Mashariki tukianza na mke wa Rais wa Burundi.

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.