Kufuatia kuondoka kwa Umoja wa Soviet kutoka Afghanistan mwaka 1989 na hatimaye kuanguka kwa serikali ya Afghanistan, nchi hiyo ilitumbukia katika vita vya wenyewe kawa wenyewe. Taliban walipata msaada wakiahidi kurejesha utulivu na haki. Mwaka 1994, walichukua udhibiti wa mji wa Kandahar...