Mojawapo ya taarifa kubwa zinazoendelea kugonga sana vichwa vya habari kuhusu Tanzania tokea Machi 2020 ni kuhusu maambukizi ya Corona (Covid-19) janga lililoikumba dunia kwa jumla. Chanzo cha kumulikwa taifa hilo la Afrika Mashariki ni msimamo wa aliyekuwa Rais wake John Pombe Joseph Maguful