Jasusi wa Urusi akamatwa nchini Ujerumani | Matukio ya Kisiasa | DW
Waendesha mashitaka, Ujerumani wamesema wanamzuilia raia mmoja wa Uingereza anayetuhumiwa kufanya ujasusi kwa niaba ya Urusi wakati anafanya kazi katika ubalozi wa Uingereza mjini Berlin Ujerumani.
Source: dw.com