Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Blacks South Users News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Blacks South Users. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Blacks South Users Today - Breaking & Trending Today

Tamaa! Bosi Aliyenaswa Akipora Mali Wakati wa Vurugu Afrika Kusini Apigwa Kalamu - Vimarsana News

Tamaa! Bosi Aliyenaswa Akipora Mali Wakati wa Vurugu Afrika Kusini Apigwa Kalamu

  Mkurugenzi Mtendaji wa Usimamizi wa Utajiri wa Ubuntu, Qhawe Sithole, amekamatwa kwa madai ya kuhusika na uporaji huko Durban Vitendo vyake vilivyolaaniwa sana kwenye mitandao ya kijamii, na mtu anayemfahamu akamtaja kwa jina Watumiaji wengi wa mitandao ya Jamii walishangaa Mkurugenzi Mtendaji alitarajia kupata nini katika uporaji Polisi wamemtia mbaroni Mkurugenzi Mtendaji wa Usimamizi wa Utajiri wa Ubuntu (Ubuntu Wealth Management), Qhawe Sithole, kwa madai ya kujihusisha na uporaji huko Durban, Afrika Kusini. Bosi atimuliwa kazini kwa kushiriki uporaji mali wakati wa vurugu Afrika Kusin...