Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Captain Host Head News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Captain Host Head. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Captain Host Head Today - Breaking & Trending Today

Siku 100 za Rais Samia Sulu: Zama zinarejea lakini Katiba Mpya ni mfupa mgumu kwa Samia - Vimarsana News

Siku 100 za Rais Samia Sulu: Zama zinarejea lakini Katiba Mpya ni mfupa mgumu kwa Samia

Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa wanakosoa hadharani baadhi ya kasoro na makosa yaliyokuwa yakifanywa na serikali wakati wa utawala wa Rais John Magufuli ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa chama tawala.

Source: bbc.com
Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa:Nini maana ya uteuzi wa wakuu wa mikoa uliofanywa na Rais Samia? - Vimarsana News

Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa:Nini maana ya uteuzi wa wakuu wa mikoa uliofanywa na Rais Samia?

Mabadiliko hayo yanafanana - kwa kiasi kikubwa, na yale aliyoyafanya kwenye Baraza la Mawaziri ambako kimsingi aliwahamisha tu kutoka wizara moja kwenda nyingine na hakuna waziri hata mmoja aliyeachwa na hayati Rais John Magufuli ambaye aliondolewa katika wadhifa wake.

Source: bbc.com