Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Commissiona Election News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Commissiona Election. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Commissiona Election Today - Breaking & Trending Today

Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM? - Vimarsana News

Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM?

Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM? Rashid Abdallah Chanzo cha picha, Google Mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya ulianza rasmi mwaka 2011 wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Miaka mitatu baadaye yaani mwaka 2014, wakati huo Kikwete akimalizia muda wake madarakani mchakato huo ulikwama ukiwa katika hatua ya mwisho ya upigaji kura wa katiba inayopendekezwa. Wengi walidhani baada ya kuingia madarakani mwendazake John Pombe Magufuli, mchakato huu ungepewa kipaumbele lakini mbele ya waandishi wa habari alieleza katiba mpya haikuwa kipaumbele cha utawala wake. Ch...

Source: bbc.com
Ethiopia: Chama cha PP cha Abiy Ahmed chashinda uchaguzi | Matukio ya Afrika | DW - Vimarsana News

Ethiopia: Chama cha PP cha Abiy Ahmed chashinda uchaguzi | Matukio ya Afrika | DW

Ethiopia: Chama cha PP cha Abiy Ahmed chashinda uchaguzi Tume ya uchaguzi ya Ethiopia imetangaza ushindi wa chama cha PP ambao umemhakikishia Abiy Ahmed muhula mwingine wa miaka mitano madarakani. Chama cha Prosperity (PP) cha Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kimeshinda viti vingi katika uchaguzi wa bunge la Ethiopia. Waziri Mkuu Abiy Ahmed na chama chake kipya cha PP walitangazwa kushinda kwa kishindo na tume ya uchaguzi katika hafla iliyofanyika kwenye mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa. Abiy amepongeza uchaguzi huo ambapo raia wa Ethiopia walipiga kura mnamo tarehe 21 Juni. Amesema huo ni...

Source: dw.com