Samia Suluhu: Tanzania kuhudhuria Kikao cha Umoja wa Mataifa kuna tafsiri gani?.
Rais Magufuli hakufanya hata ziara moja nchi za ng'ambo na alikuwa akisisitiza kwamba yeye kwake kipaumbele kilikuwa kushughulikia maendeleo ya taifa hilo.
Stay updated with breaking news from Samia Conclusion. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Rais Magufuli hakufanya hata ziara moja nchi za ng'ambo na alikuwa akisisitiza kwamba yeye kwake kipaumbele kilikuwa kushughulikia maendeleo ya taifa hilo.
Kauli yake ni ya kisiasa zaidi, imebeba maneno yenye kuashiria kana kwamba ana uhakika na ushindi. Ingawa hilo ni kawaida panapohusika tambo za kisiasa. Hatima ya tambo hizo huwa ni kura kisandukuni.
Faida kubwa ya kutokuwa na katiba ya nchi iliyoandikwa kwenye nyaraka kuu moja ni urahisi wa kufanya marekebisho ya sheria yoyote kulingana na jambo ama mazingira yanayojitokeza.
Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM? Rashid Abdallah Chanzo cha picha, Google Mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya ulianza rasmi mwaka 2011 wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Miaka mitatu baadaye yaani mwaka 2014, wakati huo Kikwete akimalizia muda wake madarakani mchakato huo ulikwama ukiwa katika hatua ya mwisho ya upigaji kura wa katiba inayopendekezwa. Wengi walidhani baada ya kuingia madarakani mwendazake John Pombe Magufuli, mchakato huu ungepewa kipaumbele lakini mbele ya waandishi wa habari alieleza katiba mpya haikuwa kipaumbele cha utawala wake. Ch...
Samia Suluhu Hassan: Maadhimisho ya siku 100 za kwanza za rais wa sita wa Tanzania