Samia Suluhu Hassan: Rais mpya anayekabiliana na dhana ya kutokuwepo kwa corona Tanzania
Mtangulizi wake alikuwa mzungumzaji lakini rais mpya wa Tanzania ni mtu mtulivu. Pale ambapo mtangulizi wake amekuwa dikteta , Mrithi wake amekuwa akijumuisha kila mtu.
Source: bbc.com