Michael Jackson Minutes News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Michael jackson minutes. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Michael Jackson Minutes Today - Breaking & Trending Today

Teodoro Nguema Obiang Mangue: Mwanae rais anayependa magari ya Bugatti na Michael Jackson


Teodoro Nguema Obiang Mangue: Mwanae rais anayependa magari ya Bugatti na Michael Jackson
29 Julai 2021
Chanzo cha picha, AFP
Kwa miaka mafanikio ya Teodoro Teodorin Nguema Obiang Mangue yaliwiana na mafanikio ya nchi yake Equatorial Guinea, kama ilivyopanda na kuboreka kama mzalishaji mkubwa wa mafuta katika Kusini mwa jangwa la Sahara
Mtoto wa Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo anafurahia maisha yake ya kifahari huko California na Ufaransa.
Maisha yake hayo mazuri ni tofauti kabisa na maisha ya wananchi wenzake wengi, ambao wanafaidika kwa kiasi kidogo na mapato yatokanayo na mafuta.
Mtindo wake wa maisha na matumizi yake yanatajwa kuhusishwa na ubadhirifu ambapo sasa Teodorin anakabiliwa na hatia ya makosa ya kiuhalifu nchini Ufaransa, vikwazo nchini Uingereza na rekodi mbaya ya rushwa nchini Marekani. ....

United Kingdom , Michael Jackson , Divisiona France , Michael Jackson Minutes , Desert Initiates The President , Father Her , South West , ஒன்றுபட்டது கிஂக்டம் , மைக்கேல் ஜாக்சன் , அப்பா அவள் , தெற்கு மேற்கு ,