Afghanistan: 'Kama si makubaliano ya Doha, Afghanistan isingeangukia mikononi mwa Taliban'
Maofisa wa ngazi za juu wa Ulinzi wa Marekani wamesema hatua ya Taliban kurejea madarakani nchini Afghanistan ilitokana na mkataba kati ya kundi hilo na utawala wa aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump.