Mapigano yazuka upya mpaka wa Armenia na Azerbaijan | Matukio ya Kisiasa | DW
Mapigano yamezuka tena katika ya vikosi vya Armenia na Azerbaijan wakati juhudi za kimataifa zikiendelea kukomesha ghasia zilizouwa wanajeshi wapatao 100, yakiwa makali kabisa tangu kumalizika vita vya mwaka 2020.