Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Seats Special News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Seats Special. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Seats Special Today - Breaking & Trending Today

Mbowe apigilia msumari wa mwisho sakata la Mdee na wenzake - Vimarsana News

Mbowe apigilia msumari wa mwisho sakata la Mdee na wenzake

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) Taifa, Freeman Mbowe, amesema chama hicho hakitabadili msimamo wake wa kumfukuza Halima Mdee na wenzake 18.Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Mbowe ametoa msimamo huo jana tarehe 6 Julai 2021, katika ziara yake ya kikazi visiwani Pemba, Zanzibar. Ikiwa zimesalia siku kadhaa kwa Baraza Kuu la Chadema, kuketi kwa ajili ya kujadili maombi ya rufaa zao, wawaliyowasilisha kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama. Baraza hilo linatarajiwa kuitishwa Julai 2021. “Wanasema kwamba k...

Siku 100 za Rais Samia Sulu: Zama zinarejea lakini Katiba Mpya ni mfupa mgumu kwa Samia - Vimarsana News

Siku 100 za Rais Samia Sulu: Zama zinarejea lakini Katiba Mpya ni mfupa mgumu kwa Samia

Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa wanakosoa hadharani baadhi ya kasoro na makosa yaliyokuwa yakifanywa na serikali wakati wa utawala wa Rais John Magufuli ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa chama tawala.

Source: bbc.com