Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Ward It New News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Ward It New. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Ward It New Today - Breaking & Trending Today

Iraq: Moto Hospitalini wasababisha vifo vya wagonjwa zaidi 50 wa Corona - Vimarsana News

Iraq: Moto Hospitalini wasababisha vifo vya wagonjwa zaidi 50 wa Corona

Iraq: Moto hospitalini wasababisha vifo vya wagonjwa zaidi 92 wa Corona 13 Julai 2021, 06:16 EAT Imeboreshwa Saa 1 iliyopita Zima moto wanakabiliana na moto uliozuka katika hospitali moja huko Nasiriya, Iraq Zaidi ya watu 92 wamekufa baada ya moto kuzuka katika wodi ya wagonjwa wa Corona katika hospitali nchini Iraq. Moto katika hospitali ya Al-Hussein kusini mwa mji wa Nasiriya ulidhibitiwa mwishoni mwa Jumatatu. Sababu ya moto haijulikani wazi, lakini ripoti za mwanzo zinaonyesha kuwa ulianza baada ya tenki ya oksijeni kulipuka. Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al-Kadhemi aliamuru kukamatwa kw...

Source: bbc.com