Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 19.07.2021: Lacazette, Saul, Locatelli, Haaland, Hudson-Odoi, Coman, Jesus, Ronaldo
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 19.07.2021: Lacazette, Saul, Locatelli, Haaland, Hudson-Odoi, Coman, Jesus, Ronaldo 19 Julai 2021, 06:32 EAT Juventus italazimika kulipa £43m ili kumpata mashambuliaji wa Brazil Gabriel Jesus kutoka Manchester City. Klabu hiyo ya Serie A imempata mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ambaye amesalia na miaka miwili katika kandarasi yake . (Calciomercato - in Italian) Arsenal inataka kumuuza mshambuliaji wake Alexandre Lacazette, 30, ili kupata fedha za usajili katika dirisha la uhamisho la msimu ujao.. (Mirror) Inter Milan inataka kumsajili beki wa PSV Eindhov...