Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Page 2 - July Chat News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from July Chat. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In July Chat Today - Breaking & Trending Today

Baada ya Marekani kuondoa Majeshi yake Afghanistan haya ni maswali 10 kuhusu vita vya miongo miwili Afghanistan - Vimarsana News

Baada ya Marekani kuondoa Majeshi yake Afghanistan haya ni maswali 10 kuhusu vita vya miongo miwili Afghanistan

Vita ya Afghanistan: Baada ya Marekani kuondoa Majeshi yake haya ni maswali 10 kuhusu vita vya miongo miwili 9 Julai 2021, 07:30 EAT Chanzo cha picha, BBC/Getty Images Maelezo ya picha, Marekani imekuwa ikipigana Afghanistan tangu shambulio la kigaidi la mwaka 2011 lililofanyika katika ardhi yake Baada ya mzozo wa miaka 20, Marekani imeondoa wanajeshi wake nchini Afghanistan. Kwa Marekani na washirika wake, kambi ya Bagram ya jeshi la anga ilikuwa kitovu cha vita dhidi ya Taliban and al-Qaeda. Vikosi vya muungano vinavyoongozwa na Marekani viliingia nchini humo Disemba mwaka 2001, na kambi h...

Source: bbc.com
Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala - Vimarsana News

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala 9 Julai 2021, 06:41 EAT Chanzo cha picha, Getty Images Sudan Kusini ilipata uhuru miaka 10 iliyopita siku kama ya leo baada ya zaidi ya miaka 20 ya mapigano. Vita hivyo vilianza mwaka wa 1983 wakati maasi yalipozuka kusini mwa Sudan hadi mwaka wa 2005 wakati mkataba wa amani ulipotiwa saini kumaliza vita na kuwapa watu wa kusini mwa Sudan uhuru wa kuamua hatima ya nchi yao.Katika msururu wa makala zetu ya maadhimisho ya miaka 10 ya uhuru wa nchi hiyo tunakupakualia kumbukumbu za harakati za ...

Source: bbc.com
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 09.07.2021: Traore, Bellerin, Pogba, Olsen, Lenglet - Vimarsana News

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 09.07.2021: Traore, Bellerin, Pogba, Olsen, Lenglet

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 09.07.2021: Leonardo Bonucci,Traore, England,Italy, Pogba, Olsen, Lenglet,Euro 2020,Wembley 9 Julai 2021, 06:53 EAT Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Paul Pogba Leonardo Bonucci anasema Italia "haiogopi" kushiriki fainali ya Euro 2020 kwenye ardhi ya Uingereza wakati pande hizo mbili zitapambana Jumapili. Italia iliifunga Uhispania kwa mikwaju ya penati baada ya nusu fainali ya kuvutia kwenye Uwanja wa Wembley uliokuwa na vurugu Jumanne. "Ingawa kutakuwa na umati wa Waingereza, itatupa motisha zaidi," Bonucci alisema. Mashabiki wapatao 1,000 wa Ital...

Source: bbc.com
Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: ' Ilibaki kidogo tu nimle rafiki yangu aliyefariki ili kujiokoa kufa njaa' - Vimarsana News

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: ' Ilibaki kidogo tu nimle rafiki yangu aliyefariki ili kujiokoa kufa njaa'

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: ' Ilibaki kidogo tu nimle rafiki yangu aliyefariki ili kujiokoa kufa njaa’ 8 Julai 2021, 06:17 EAT Chanzo cha picha, Wendy Stone/Getty images Sudan Kusini ilipata uhuru miaka 10 iliyopita baada ya zaidi ya miaka 20 ya mapigano.Vita hivyo vilianza mwaka wa 1983 wakati maasi yalipozuka kusini mwa Sudan hadi mwaka wa 2005 wakati mkataba wa amani ulipotiwa saini kumaliza vita na kuwapa watu wa kusini mwa Sudan uhuru wa kuamua hatima ya nchi yao.Katika msururu wa m z etu ya maadhimisho ya miaka 10 ya uhuru wa nchi hiyo tunakupakualia kumbukumbu za harakati...

Source: bbc.com
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 08.07.2021: Haaland, Guardiola, Richarlison, Jorginho, Ramos, Goretzka - Vimarsana News

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 08.07.2021: Haaland, Guardiola, Richarlison, Jorginho, Ramos, Goretzka

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 08.07.2021: Ramos, Haaland, Guardiola, Richarlison, Jorginho, Ramos, Goretzka 8 Julai 2021, 06:46 EAT Imeboreshwa Saa 6 zilizopita Chanzo cha picha, PSG/twitter Paris St-Germain imemsajili Sergio Ramos kwa kandarasi ya miaka miwili baada ya mchezaji huyo kuondoka katika klabu yake ya miaka mingi Real Madrid. Ramos , 35 aliondoka Madrid baada ya miaka 16 wakati kandarasi yake ilipokamilika mwisho wa mwezi Juni. Mchezaji huyo ambaye ameichezea mara nyingi zaidi timu yake ya taifa kushinda mchezaji yeyote yule ,ameshinda mataji matano ya La liga na mataji manne ya k...

Source: bbc.com