Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Riek Plus News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Riek Plus. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Riek Plus Today - Breaking & Trending Today

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala - Vimarsana News

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala 9 Julai 2021, 06:41 EAT Chanzo cha picha, Getty Images Sudan Kusini ilipata uhuru miaka 10 iliyopita siku kama ya leo baada ya zaidi ya miaka 20 ya mapigano. Vita hivyo vilianza mwaka wa 1983 wakati maasi yalipozuka kusini mwa Sudan hadi mwaka wa 2005 wakati mkataba wa amani ulipotiwa saini kumaliza vita na kuwapa watu wa kusini mwa Sudan uhuru wa kuamua hatima ya nchi yao.Katika msururu wa makala zetu ya maadhimisho ya miaka 10 ya uhuru wa nchi hiyo tunakupakualia kumbukumbu za harakati za ...

Source: bbc.com
Miaka 10 ya Sudani Kusini: Viongozi wa kisiasa waliopigiwa magoti na Papa kuacha vita - Vimarsana News

Miaka 10 ya Sudani Kusini: Viongozi wa kisiasa waliopigiwa magoti na Papa kuacha vita

Miaka 10 ya Sudani Kusini: Viongozi wa kisiasa waliopigiwa magoti na Papa kuacha vita 7 Julai 2021, 05:51 EAT Imeboreshwa 7 Julai 2021, 06:57 EAT Chanzo cha picha, Getty Images Sudan Kusini ilipata uhuru miaka 10 iliyopita baada ya zaidi ya miaka 20 ya mapigano.Vita hivyo vilianza mwaka wa 1983 wakati maasi yalipozuka kusini mwa Sudan hadi mwaka wa 2005 wakati mkataba wa amani ulipotiwa saini kumaliza vita na kuwapa watu wa kusini mwa Sudan uhuru wa kuamua hatima ya nchi yao.Katika msururu wa m z etu ya maadhimisho ya miaka 10 ya uhuru wa nchi hiyo tunakupakualia kumbukumbu za harakati za...

Source: bbc.com