Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

July Information News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from July Information. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In July Information Today - Breaking & Trending Today

Simulizi ya mwanaume aliyebakwa kwa kipindi cha miaka 10 - Vimarsana News

Simulizi ya mwanaume aliyebakwa kwa kipindi cha miaka 10

Unyanyasaji dhidi ya wanaume ni nadra sana kutokea na kujadiliwa na hasa unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanaume au unyanyasaji wa mwanaume ambaye amefanyiwa unyanyasaji na mtu wa familia yake.

Source: bbc.com
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa tarehe 30.07.2021: Grealish, Pogba, Lukaku, Dest, Lukaku, Trippier, Ederson, Willian - Vimarsana News

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa tarehe 30.07.2021: Grealish, Pogba, Lukaku, Dest, Lukaku, Trippier, Ederson, Willian

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa tarehe 30.07.2021: Grealish, Pogba, Lukaku, Dest, Lukaku, Trippier, Ederson, Willian Saa 7 zilizopita Chanzo cha picha, Reuters Aston Villa wanatarajiwa kuanza tena mazungumzo na kiungo wa England Jack Grealish, 25, wiki ijayo na wako tayari kumpa mkataba mpya wa kuzuia hamu kutoka kwa Manchester City. (Express na Star) Mabingwa wa Ligi ya Premia City, hata hivyo, wameanza mazungumzo na Villa kwa ajili ya kumsajili mchezaji huyo - na uamuzi kuhusu ikiwa makubaliano ya Grealish yanaweza kuafikiwa utafanywa ndani ya siku chache. (Guardian) Meneja wa Manchester Ci...

Source: bbc.com
Ghasia za Afrika Kusini:Ndani ya wiki ya machafuko na uporaji jijini Durban - Vimarsana News

Ghasia za Afrika Kusini:Ndani ya wiki ya machafuko na uporaji jijini Durban

Ghasia za Afrika Kusini:Ndani ya wiki ya machafuko na uporaji jijini Durban 29 Julai 2021 Chanzo cha picha, AFP Wiki mbili baada ya Afrika Kusini kukumbwa na wimbi la ghasia na uporaji - matukio mabaya zaidi ya vurugu tangu ujio wa demokrasia mnamo 1994 - vizuizi vya muda mfupi na majaa ya takataka katika jiji la bandari la Durban vimeondolewa. Lakini wanajeshi wanaendelea kufanya doria katika vitongoji vilivyoharibiwa na wiki ya machafuko ambayo iliwaacha watu zaidi ya 300 wakiwa wamekufa. "Kila kitu kimeenda. Sina bima. Nina wasiwasi juu ya siku zijazo za Afrika Kusini. Nina wasiwasi ju...

Source: bbc.com
Usain Bolt:Raia wa Jamaica ambaye kasi yake iliushangaza ulimwengu - Vimarsana News

Usain Bolt:Raia wa Jamaica ambaye kasi yake iliushangaza ulimwengu

Usain Bolt:Raia wa Jamaica ambaye kasi yake iliushangaza ulimwengu 26 Julai 2021, 07:23 EAT Chanzo cha picha, Getty Images Ni wanamichezo ambao uwezo,talanta na rekodi zao zitasalia katika kumbukumbu za historia kwa muda mrefu .Wengine wameshastaafu lakini wenzao bado wapo katika tasnia ya michezo.Wikii hii tunakupakulia safari za wanamichezo wa kipekee ambao wameng'ara na kuacha mifano ya kuigwa katika aina mbali mbali ya michezo.Leo tunamuangazia Usain Bolt anayeshikilia rekodi ya dunia ya mbio za mita 100 na 200 na mtu mwenye kasi Zaidi duniani . Watu wengi wanajua kuwa Usain Bolt ndiye m...

Source: bbc.com
Wake wa marais: Mfahamu mke wa rais wa DRC Denise Nyakeru Nkana Tshisekedi - Vimarsana News

Wake wa marais: Mfahamu mke wa rais wa DRC Denise Nyakeru Nkana Tshisekedi

Wake wa marais: Mfahamu mke wa rais wa DRC Denise Nyakeru Nkana Tshisekedi Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Denise Nyakeru/Facebook Maelezo ya picha, Hadithi ya maisha ya Bi Denise Tshisekedi imekuwa na kusikitisha kwa upande mmoja na upande mwingine ya kutia moyo Ni watu wenye ushawishi katika uongozi wa kila siku wa nchi zao, hata hivyo si kila siku utasikia juu ya maisha yao na vipawa vyao. Hawa ni wenza wa marais, ambao baadhi yao ni wanasiasa na wanaharakati ambao wamekuwa bega kwa bega katika safari za kisiasa za wenza wao mpaka kushika hatamu za madaraka. Wiki hii tunakuletea mfululi...

Source: bbc.com