Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Master Zuma News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Master Zuma. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Master Zuma Today - Breaking & Trending Today

Ghasia za Afrika Kusini:Ndani ya wiki ya machafuko na uporaji jijini Durban - Vimarsana News

Ghasia za Afrika Kusini:Ndani ya wiki ya machafuko na uporaji jijini Durban

Ghasia za Afrika Kusini:Ndani ya wiki ya machafuko na uporaji jijini Durban 29 Julai 2021 Chanzo cha picha, AFP Wiki mbili baada ya Afrika Kusini kukumbwa na wimbi la ghasia na uporaji - matukio mabaya zaidi ya vurugu tangu ujio wa demokrasia mnamo 1994 - vizuizi vya muda mfupi na majaa ya takataka katika jiji la bandari la Durban vimeondolewa. Lakini wanajeshi wanaendelea kufanya doria katika vitongoji vilivyoharibiwa na wiki ya machafuko ambayo iliwaacha watu zaidi ya 300 wakiwa wamekufa. "Kila kitu kimeenda. Sina bima. Nina wasiwasi juu ya siku zijazo za Afrika Kusini. Nina wasiwasi ju...

Source: bbc.com
Mahakama ya Afrika Kusini kusikiliza rufaa ya Zuma - Vimarsana News

Mahakama ya Afrika Kusini kusikiliza rufaa ya Zuma

Mahakama ya Afrika Kusini kusikiliza rufaa ya Zuma Mahakama ya juu zaidi nchini Afrika Kusini imekubali kusikiliza ombi la Rais wa zamani Jacob Zuma la kutaka kifungo cha miezi 15 jela kifutiliwe mbali. Siku ya Jumanne Mahakama ya Kikatiba ilimpata na hatia ya kudharau agizo la mahakama la kutokeza kwenye uchunguzi wa ufisadi. Bwana Zuma alipewa hadi usiku wa manane Jumapili kujisalimisha mwenyewe. Haijulikani kama uamuzi wa mahakama wa kusikiliza rufaa dhidi ya uamuzi wake wenyewe yanaathiri tarehe ya mwisho iliyowekwa. Mahakama ya Katiba ilisema kwamba ilipokea ombi la kukata rufaa la Bw Zu...