Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

General Salva News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from General Salva. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In General Salva Today - Breaking & Trending Today

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala - Vimarsana News

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala

Miaka 10 ya Uhuru wa Sudani Kusini: Vita mbili kuu na harakati za miongo sita ya kutafuta kujitawala 9 Julai 2021, 06:41 EAT Chanzo cha picha, Getty Images Sudan Kusini ilipata uhuru miaka 10 iliyopita siku kama ya leo baada ya zaidi ya miaka 20 ya mapigano. Vita hivyo vilianza mwaka wa 1983 wakati maasi yalipozuka kusini mwa Sudan hadi mwaka wa 2005 wakati mkataba wa amani ulipotiwa saini kumaliza vita na kuwapa watu wa kusini mwa Sudan uhuru wa kuamua hatima ya nchi yao.Katika msururu wa makala zetu ya maadhimisho ya miaka 10 ya uhuru wa nchi hiyo tunakupakualia kumbukumbu za harakati za ...

Source: bbc.com