vimarsana.com

Latest Breaking News On - Club ita series - Page 1 : vimarsana.com

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 30 09 2021: Lacazette, En-Nesyri, Phillips, Rice, Johnstone, Winks, Wirtz, Torres

Arsenal itamtoa mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette, 30, kwa Sevilla kama sehemu ya makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Morocco wa miaka 25 Youssef En-Nesyri. (La Razon - in Spanish)

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 19 07 2021: Lacazette, Saul, Locatelli, Haaland, Hudson-Odoi, Coman, Jesus, Ronaldo

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 19.07.2021: Lacazette, Saul, Locatelli, Haaland, Hudson-Odoi, Coman, Jesus, Ronaldo 19 Julai 2021, 06:32 EAT Juventus italazimika kulipa £43m ili kumpata mashambuliaji wa Brazil Gabriel Jesus kutoka Manchester City. Klabu hiyo ya Serie A imempata mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ambaye amesalia na miaka miwili katika kandarasi yake . (Calciomercato - in Italian) Arsenal inataka kumuuza mshambuliaji wake Alexandre Lacazette, 30, ili kupata fedha za usajili katika dirisha la uhamisho la msimu ujao.. (Mirror) Inter Milan inataka kumsajili beki wa PSV Eindhoven Denzel Dumfries lakini inaweza kumnunua kwa mkopo mchezaji huyo wa Uholanzi. (Calciomercato - in Italian) Hakujakuwa na habari yoyote mpya kuhusu uhamisho wa Saul Niguez kutoka Atletico Madrid kuelekea Barcelona na kiungo huyo wa Uhispania amekuwa akiwasiliana na klabu kadhaa huku akitarajiwa kujiunga na Liverpool au Manchester United (AS - in Spanish)

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.