Biggest News Aggregation in the World
📰 Carousel Constructor Plugins News

Page 145 - Carousel Constructor Plugins News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.

Mbunge: Wanaume Wanajadili Sana Kuhusu Simba na Yanga Kuliko Afya zao

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu, amesema kama nguvu zaidi ingetumika kujadili masuala ya #Afya ikiwemo kupima VVU, huenda vita dhidi ya Ugonjwa huo ingekuwa nyepesi Ameongeza "Wanaume wa #Tanzania wanatumia muda mwingi kujadili Usimba na Uyanga, hawapimi VVU na hawataki kupima, hivi ingetumika muda huo kuzungumza masuala ya kupima Afya zao si tungeshinda" Akieleza zaidi, amesema tatizo lipo kwa Wanaume waliooa ambao hutegea Wake zao wapime ndio nao wapate majibu na kujipa matumaini wak...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Metacha Mnata Kupewa Mkataba Mpya

Metacha Mnata Kupewa Mkataba Mpya   KIPA namba moja wa Yanga, Metacha Mnata inaelezwa kuwa anaandaliwa mkataba mpya ili aweze kusaini dili jipya. Nyota huyo hivi karibuni ilielezwa kuwa anahitaji kusepa ndani ya Yanga kutokana na kutuhumiwa kwamba anacheza chini ya kiwango jambo ambalo lilimkasirisha nyota huyo. Mechi ambayo ilileta utata ni ile ya sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania ambapo ilikuwa ni Fiston Abdulazack alianza kufunga bao la Polisi Tanzania likafungwa dakika za...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

IGP Siro akutana na IGP wa Rwanda

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kulia) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama ikiwemo udhibiti wa makosa ya uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya. Picha na J...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

GrabPay Can Now Be Used To Reload Your Autosweep and EasyTrip RFIDs | CarGuide.PH | Philippine Car News, Car Reviews, Car Prices

GrabPay Can Now Be Used To Reload Your Autosweep and EasyTrip RFIDs Good news: you can now use GrabPay to top up both your Autosweep RFID and EasyTrip RFID. This helps make reloading contactless toll payments easier for those who need to traverse the major expressways in Luzon. EasyTrip has been one of Grab’s partners through CIS Bayad Center, Inc., since Grab rolled out its Bill Payment feature, while Autosweep went live during the first quarter of 2021. These systems allow commuters to pass...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Mume Aua Mkewe Kisha Naye Kujimaliza Kwa Kujinyonga Kisa Kagongewa

Edward Manyangu (41) Mkazi wa Wilaya ya Busega anadaiwa kumuua Dalali Maunga (41) kwa kumpiga na kitu kizito kichwani baada ya kutokea Ugomvi ambapo Mwanaume alimtuhumu Mkewe kuwa na uhusiano nje ya Ndoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao, amesema baada ya kutekeleza mauaji hayo, Manyangu alijiua kwa kujinyonga kwa kamba aliyofunga kwenye Mti ulioko nje ya nyumba yao Kwa mujibu wa ujumbe wa maandishi unaoaminika kuandikwa na Manyangu, alikuwa akimtuhumu Mkewe kuwa na uhusiano wa ki...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Stay Updated with Latest News

Get breaking news updates delivered to your inbox

Browse All News →

China demographic crisis looms as population growth slips to slowest ever - EXCELSIO | News & Information

China demographic crisis looms as population growth slips to slowest ever China demographic crisis looms as population growth slips to slowest ever May 11, 2021 Share To: Chinas population grew at its slowest in the last decade since the 1950s as births declined, sowing doubt over Beijings ability to power its economy as it succumbs to the same ageing trends afflicting developed nations like Japan. Share
Animationend Msanimationend Michael Haszprunar Gian Carlo Mingati Plugins Autoheight Scott Waye Width Default

South Korea's Moon says 'time to take action' on North Korea - EXCELSIO | News & Information

South Koreas Moon says time to take action on North Korea South Koreas Moon says time to take action on North Korea May 10, 2021 Excelsio Media Share To: South Korean President Moon Jae-in said on Monday he sees his final year in office as the last chance to achieve a lasting peace with North Korea, and said it was time to take action amid stalled talks over Pyongyangs nuclear and missile programs. Share
Animationend Msanimationend Michael Haszprunar Gian Carlo Mingati Plugins Autoheight Scott Waye Width Default

Simba kukwea pipa kuifuata Kaizer Chiefs kesho

Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa kesho Mei 11 kinatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Afrika Kusini. Simba ni wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa sasa wametinga hatua ya robo fainali baada ya kuwa vinara wa kundi A wakiwa na pointi 13. Mei 15 itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni robo fainali ya kwanza. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu, Gomes amesema kuwa wanatar...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Ajipiga risasi baada ya kuwauwa sita katika sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa

Mwanaume mmoja mwenye silaha ajiuwa kwa risasi baada ya kuwapiga risasi na kuwaua watu sita katika sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa huko Colorado Springs siku ya Jumapili, polisi wameeleza. Milio ya risasi ilisikika katika bustani ya nyumbani ambayo inahamishika ambapo familia ilikutana kusheherekea. "Mshukiwa ambaye ni mpenzi wa msichana aliyekuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa , alifika nyumbani hapo na kuanza kupiga risasi watu waliokuwa katika sherehe hiyo kabla ya kujiua yeye mwenyew...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science