📰 Carousel Constructor Plugins News
Page 146 - Carousel Constructor Plugins News Today
Fast, Ad-Free News Updates
Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.
May 9, 2021
Huwa anapenda kukugusa sehemu yako ya mwili. Haoni aibu kugusa sehemu ya mwili wako. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomasa au hata kukumbatia. Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahishishia kazi ya kuwa na wewe. Kupenda kucheka tena muda mwingine kwa nguvu Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli. Wivu. Hujisikia wivu anapokuona...
May 9, 2021
Soma Habari Mbali Mbali za Udaku, Siasa, Mapenzi na Mengine Mengi Kutoka Tanzania
May 9, 2021
Tesla, under scrutiny in China, steps up engagement with regulators Tesla, under scrutiny in China, steps up engagement with regulators May 03, 2021 Share To: Electric vehicle maker Tesla, facing scrutiny in China over safety and customer service complaints, is boosting its engagement with mainland regulators and beefing up its government relations team, industry sources said. Share
May 9, 2021
Simba yatoa tamko kughairishwa kwa Derby yao na Yanga Klabu ya Simba inapenda kutoa tamko kuhusu kuahirishwa kwa mchezo wake dhidi ya Yanga, uliokuwa ufanyike jana Mei 8, 2021 Mnamo majira ya saa saba mchana, tulipokea simu kutoka Bodi ya Ligi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikituelekeza kuhusu mapendekezo ya kuahirishwa kwa mchezo huo kutokana na maelekezo ya Serikali. Muda mfupi baadaye , tulipokea taarifa rasmi ya kimaandishi juu ya uamuzi huo kutoka kwenye mamlaka hizo zinzazosimamia m...
May 9, 2021
Dozens injured in Jerusalem violence May 09, 2021 Excelsio Media Share To: Clashes erupted between Palestinian protesters and Israeli police outside the Old City of Jerusalem as tens of thousands of Muslim worshippers prayed at al-Aqsa Mosque on Islams holy night of Laylat al-Qadr. Share
May 9, 2021
Jumatano wiki hii wimbo wa Childish Gambino "This Is America" ulitimiza miaka 3 tangu uachiwe rasmi na kuisumbua dunia ikiwemo kushinda tuzo 4 za Grammy 2019. Sasa Childish Gambino ameshtakiwa kwa madai ya kuiba wimbo huo. Rapa mmoja aitwaye Emelike Nwosuocha maarufu kama Kidd Wes, ameibuka na kudai kwamba Gambino ameiba mistari, maudhui na muundo mzima kwenye wimbo wake ambao aliuachia Septemba 2016 kupitia SoundCloud na baadaye aliupandisha YouTube. Kisha alienda mbali zaidi kwa kuusajili kwe...
May 9, 2021
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Innocent Bashungwa, amesema kuwa serikali imesitisha utekelezaji wa kanuni za kukagua nyimbo za wasanii kabla hazijapelekwa kwenye Radio, Televisheni na majukwaa mbalimbali. Uamuzi huo umetolewa leo Mei 8, 2021, mara baada ya waziri mwenye dhamana hiyo kukutana na wadau wa muziki nchini wakiwemo wasanii wenyewe. Waziri Bashungwa amechukua uamuzi huo baada ya wadau wa muziki kupinga suala hilo wakidai haliwatendei haki wasanii. Hatua hii inakuja ...
May 9, 2021
May 09, 2021 Scotlands first minister Nicola Sturgeon vowed to press ahead with plans for a new referendum on leaving the United Kingdom after pro-i...
May 9, 2021
Chinese rocket debris lands in Indian Ocean Chinese rocket debris lands in Indian Ocean May 09, 2021 Excelsio Media Share To: Remnants of Chinas biggest rocket landed in the Indian Ocean, with most of its components destroyed upon re-entry into the atmosphere, ending days of speculation over where the debris would hit. Share
May 9, 2021
Scottish nationalists win majority in parliament Scottish nationalists win majority in parliament May 09, 2021 Excelsio Media Share To: Scotlands first minister Nicola Sturgeon vowed to press ahead with plans for a new referendum on leaving the United Kingdom after pro-independence parties won a majority in Thursday’s parliament elections. Share