Biggest News Aggregation in the World
📰 Carousel Constructor Plugins News

Page 147 - Carousel Constructor Plugins News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.

Sakata la Gigy Money kufungiwa laibuka kikao cha wasanii na Bashungwa

Sakata la msanii wa Bongofleva, Gift Stanford maarufu Gigy Money kufungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kujihusisha na sanaa ndani na nje ya nchi kwa miezi sita limeibuka katika kikao cha wadau wa sanaa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa. Kikao hicho kinafanyika leo Jumamosi Mei 8, 2021 mkoani Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali likiwemo la nyimbo za wasanii kutochezwa mahali popote mpaka zihakikiwe na Basata. Gigy alifungiwa Januari 5, 2021 akida...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

At-risk rhea birds released into Patagonia wild - EXCELSIO | News & Information

At-risk rhea birds released into Patagonia wild At-risk rhea birds released into Patagonia wild May 09, 2021 Excelsio Media Share To: Conservationists in Chile are looking to re-populate the native rhea bird into its Patagonia region, after it was brought to near extinction locally as a result of illegal hunting. Share
Animationend Msanimationend Michael Haszprunar Gian Carlo Mingati Plugins Autoheight Scott Waye Width Default

Manara awavaa Yanga "Malalamiko ya nini wakati hyo saa moja tutacheza wote?"

Manara awavaa Yanga "Malalamiko ya nini wakati hyo saa moja tutacheza wote?"  Wakati Yanga wakiwa tayari wameshawasili uwanjani na wakijipanga kuanza kupasha misuli. Msemaji wa Simba Haji Manara ametoa kauli kwamba wao wapo tayari kucheza na Yanga muda wowote. Kupitia ukurasa wake wa instagramu Manara ameandika; Malalamiko ya nn wakati hyo saa moja tutacheza wote? Hata cc hatukufurahia mabadiliko hayo ya ghafla , lakini hatuna budi kukubaliana na uamuzi wa Mamlaka !! Simba ipo tayari kucheza h...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Barbara: Bila Kuifunga Yanga, Ubingwa Hautanoga

Barbara: Bila Kuifunga Yanga, Ubingwa Hautanoga MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amefunguka kuwa watafanya kila namna leo, Yanga afe pale kwa Mkapa kwani hakutakuwa na raha ya kuchukua ubingwa pasipo kumfunga mtani wao huyo.   Barbara alisema anaamini kwa asilimia 100 kuwa ushindi utapatikana kwani morali na ari ya wachezaji ipo juu sana na wao kama viongozi wameshamaliza majukumu yao, hivyo kilichobaki ni wachezaji kumaliza kazi ndani ya uwanja.   Akizungumza na Championi Ju...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

WHO yatoa idhini ya matumizi ya dharura ya chanjo ya China

WHO yatoa idhini ya matumizi ya dharura ya chanjo ya China Shirika la afya ulimwenguni WHO limeidhinisha matumizi ya dharura ya chanjo ya Covid-19 iliyotengezwa na kampuni ya China ya Sinopharm.  Uamuzi huo utawezesha mamilioni ya dozi kuweza kuzifikia nchi zenye uhitaji kupitia mpango wa kimataifa wa usambazaji chanjo.  Timu ya washauri wa WHO, imesema hatua hiyo inafungua uwezekano wa chanjo ya Sinopharm kujumuishwa katika mpango wa COVAX katika wiki chache zijazo na kusambazwa kupitia ofis...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Stay Updated with Latest News

Get breaking news updates delivered to your inbox

Browse All News →

Rais Kagame kuwa wa kwanza kuleta kiwanda chanjo ya corona Afrika

Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema Taifa lake litakuwa la kwanza kuleta chanjo ya mRNA barani Afrika wakati Afrika ikipambana na janga la virusi vya corona. “Rwanda inafanya kazi na washirika ili kuwa ya kwanza kutengeneza chanjo ya mRNA barani Afrika,” Kagame katika mkutano wa kwenye mtandao wiki hii katika mkutano ulioitishwa na jopo huru la kukabiliana na janga la corona ingawa hakutoa ufafanuzi. Waziri wa Afya wa Rwanda, Luteni Kanali Dk.Tharcisse Mpunga ameliambia Shirika la utangazaji...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Critically endangered antelope makes debut at Polish zoo - EXCELSIO | News & Information

Critically endangered antelope makes debut at Polish zoo Critically endangered antelope makes debut at Polish zoo May 07, 2021 Excelsio Media Share To: A critically endangered mountain bongo, born two weeks ago at Warsaw Zoo in Poland, enjoyed a walk outside with its mother. Share
Animationend Msanimationend Michael Haszprunar Gian Carlo Mingati Plugins Autoheight Scott Waye Width Default

Kocha Simba: Tunatakiwa Kushinda Mbele Ya Yanga

Kocha Simba: Tunatakiwa Kushinda Mbele Ya Yanga KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Yanga, kesho Mei 8, 2021 uongozi wa Simba umeweka wazi kwamba unatakiwa kushinda mchezo huo ili kuongeza nafasi ya kushinda taji la ligi. Simba ni mabingwa watetezi wa ligi kesho wanakutana na Yanga kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Walipokutana mzunguko wa kwanza Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 1-1 Simba na watupiaji kwa Yanga alikuwa ni Michael Sarpong n...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science