Biggest News Aggregation in the World
📰 Carousel Constructor Plugins News

Page 148 - Carousel Constructor Plugins News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.

Amber lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

Amber lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtot hyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali, Mtoto Huyo ambae baba ake ajulikani ameanza kula shavu za kuwa brand ambassador wa kampuni za bidhaa za watoto, Wadau kadhaa wa mitandao ya kijamii wamenda mbali na kusema mtoto Huyo anaweza kua ni mtoto wa( ember bortion ) wengine wakidai kazaa na sponsor , Jamani tumtakie heri katika kumkuza mtoto hyo anayetabiliwa kunyakua deal...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Prof Jay "Basata Kufanya Majaribio Katika Ajira Zetu Haikubali"

Prof Jay "Basata Kufanya Majaribio Katika Ajira Zetu Haikubali" Star wa hip-hop nchini @professorjaytz ameingilia kati sakata linaloendelea kwa sasa linalohusisha sheria mpya iliyopitishwa na baraza la sanaa nchini ya kuzipitia nyimbo za wasanii kabla ya kupeleka kwenye vituo vya redio na tv #ProfJay ameitaka serikali iliangalie swala hili kwani linawaumiza wasanii na kuikandamiza sanaa na kuongeea kuwa sanaa ni ajira kamili kwao "SERIKALI na @basata.tanzania mna wajibu mkubwa sana wa kuhakikis...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Mondi, Zari Wamerudiana

Mjini kuna mambo! Hivi karibuni msanii mkubwa wa muziki wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliposti picha akiwa akiwa kwenye pozi la kimahaba na zilipendwa wake Zarinah Hassan ‘Zari the boss lady’ jambo lililozua maswali mengi huko mjini Instagram. Miongoni mwa maswali ambayo watu wengi walikuwa wanajiuliza ni kwamba je? Wawili hao tayari wamesha rudiana? Lakini mpaka sasa bado haijathibitika licha ya kwamba kaka mkubwa wa staa huyo Romy Jons tayari ameshaanza kujiita kuwa yeye ni sh...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Stay Updated with Latest News

Get breaking news updates delivered to your inbox

Browse All News →

Kauli ya Rais Samia kuhusu Corona Tanzania

Kauli ya Rais Samia kuhusu Corona Tanzania   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu, amesema kuwa serikali imeanza mchakato wa kutafakari mbinu juu ya namna ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona, na kusisitiza kuwa wataalamu watakapotoa mapendekezo haitosta kushirikiana na Kenya katika kukabiliana na ugonjwa huo.   Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2021, nchini Kenya wakati alipohutubia mabunge mawili ya nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha mahusiano kati ya nch...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Vile Nilivyolipisha Kisasi Kwa Majambazi Walionivamia Nyumbani

Vile Nilivyolipisha Kisasi Kwa Majambazi Walionivamia Nyumbani   Wakati mmoja hapo mbeleni nilipokuwa natoka kazini, nilikumbwa na masahibu ya ajabu. Nilikuwa  katika gari langu nikiliendesha kuelekea nyumbani. Nilikuwa najihisi mchovu sana na hamu ya kufika nyumbani kupumzika ilikuwa kubwa mno. Wakati huo huo, kulikuwa na gari kubwa, aina ya landrover  likinifuata nyuma pasi na kujuwa. Ilikuwa mwendo wa saa moja. Giza lilikuwa limeanza kutanda na  mataa za magari mengine zilikuwa zawaka na...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Carlinhos apelekwa hospitali fasta

TAARIFA kutoka ndani ya kambi za Yanga zinasema kuwa, Juzi Jumatatu madaktari wa kikosi hicho, walilazimika kuwakimbiza hospitali nyota wake wawili ambao ni Carlos Carlinhos na beki wao Dickson Job, lengo ni kuhakikisha wanarejea kikosini mapema kabla ya kuvaana na Simba.   Carlinhos aliumia kwenye mchezo wa FA, dhidi ya Prisons, mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, wakati Job yeye aliumia wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC.   Chanzo chetu kut...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science