Biggest News Aggregation in the World
📰 Carousel Constructor Plugins News

Page 149 - Carousel Constructor Plugins News Today

Fast, Ad-Free News Updates

Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.

ICC yamhukumu kiongozi wa zamani wa LRA Dominic Ongwen kifungo cha miaka 25

ICC yamhukumu kiongozi wa zamani wa LRA Dominic Ongwen kifungo cha miaka 25 Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa jinai ICC imemhukumu kifungo cha miaka 25 kiongozi wa zamani wa waasi wa Lords Resistance Army,LRA Dominic Ongwen. Dominic Ongwen, anayefahamika kama White Ant, alipatikana na zaidi ya makosa 60 ikiwa ni pamoja na uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita. Waendesha mashtaka wanasema kuwa Bw. Ongwen amepewa adhabu ndogo kwasababu alikuwa ametekwa na LRA akiwa mtoto mdogo. Kundi h...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

New U.S. jobless claims break below 500k - EXCELSIO | News & Information

New U.S. jobless claims break below 500k New U.S. jobless claims break below 500k May 06, 2021 Share To: Initial claims for state unemployment benefits tumbled to a seasonally adjusted 498,000 for the week ended May 1, the Labor Department said on Thursday, marking the lowest reading in 13 months. Share
Animationend Msanimationend Michael Haszprunar Gian Carlo Mingati Plugins Autoheight Scott Waye Width Default

Sababu ya ongezeko la mstuko wa moyo "heart attack" katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan duniani

Sababu ya ongezeko la mstuko wa moyo “heart attack” katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan duniani Sababu ya ongezeko la mstuko wa moyo “heart attack” katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan duniani   Katika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa jumla kuna  nchi ambazo  raia wake wanafunga  saumu hii tukufu kama nguzo moja kati ya tano za kiislaam. Chakula cha jioni au kama kinavyojulikana IFTAR/FUTARI mbali ya kuwa na aina mbali mbali za vy...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Stay Updated with Latest News

Get breaking news updates delivered to your inbox

Browse All News →

Mbunge Alia na Wingi wa Wanafunzi

Mbunge Alia na Wingi wa Wanafunzi Mbunge wa Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu wana watoto wengi wa darasa la kwanza akidai wanatokana na wananchi wa eneo hilo kuzaliana sana.   “Tutakapofika mbali naamini shule za sekondari hazitaweza kutosha Vituka, Tandika. Naibu Waziri utakapokwenda na mbunge wa Mbagala upo tayari kwenda na Temeke,” amehoji Dorothy katika swali lake la nyongeza leo Jumatano Mei 5, 2021 bunge...
Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins அகலம் இயல்புநிலை

Halima Mdee Na Wenzake Wafutiwa Mashtaka Kisutu

Halima Mdee Na Wenzake Wafutiwa Mashtaka Kisutu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Mei 5, 2021 imefuta kesi ya kufanya mkusanyiko na kutotii amri halali katika geti la Gereza la Segerea iliyokuwa inawakabili watu 27 akiwemo Halima Mdee na wabunge wenzake wawili baada ya upande wa mashtaka kutopeleka mashahidi kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri hilo.   Jumla ya watu 27 walikuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ambayo ni kukaidi amri, kufanya mkusanyiko usio halalu na kuharibu geti la gereza la...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Harmorapa Aibuka, Adai Mtoto wa AMBER LULU ni wake ''Damu ya Mtu Haipotei, SURA inajieleza''

Harmorapa Aibuka, Adai Mtoto wa AMBER LULU ni wake Damu ya Mtu Haipotei, SURA inajieleza HARMORAPA aibuka, adai mtoto wa AMBER LULU ni wake Damu ya mtu haipotei, SURA inajieleza VIDEO:   DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

HII Ndiyo DNA ya Kitamaduni Kabisa Yenye Ukweli 90% Kujua Kama Mtoto ni Wako Au Umebambikiziwa

HII Ndiyo DNA ya Kitamaduni Kabisa Yenye Ukweli 90% Kujua Kama Mtoto ni Wako Au Umebambikiziwa Hapo nyuma nilikuwa nikiambiwa kuwa Wazee ni dawa na hazina hasa katika kutupatia Maarifa sisi Vijana na Wajukuu zao nilikuwa sitaki kuamini na kuna wakati hata nilikuwa nikimwona tu Mtu Mzee au Bibi basi nawapuuza tu nikiamini kwamba hawana jipya tena. Hali hii ilibadilika taratibu baada ya kuanza sasa kupenda kukaa na Wazee mara kwa mara ili niweze kuchota hekima na busara zao na kwa kweli tokea nia...
Animationend Msanimationend Plugins Autoheight Width Default Width Inner Width Outer Carousel Constructor Plugins

Explore More Categories

World News India News Business Technology Sports Entertainment Health Science