📰 Carousel Constructor Plugins News
Page 150 - Carousel Constructor Plugins News Today
Fast, Ad-Free News Updates
Stay updated with breaking news from Carousel Constructor Plugins. Real-time updates on events, politics, business and more.
May 4, 2021
Baba Amchoma Kisu Mtoto na Yeye kujiua Kisa Ukimwi Baba Amchoma Kisu Mtoto na Yeye kujiua Kisa Ukimwi Shija Mwanzalima (30) amemchoma na kisu tumboni mtoto wake wa kambo Rachel Erasto (3), kisha kujichoma na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na kujinyonga mpaka kufa, baada ya kugundulika ameathirika na Virusi vya Ukimwi peke yake huku mkewe akiwa hajaathirika. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Geita Henry Mwaibambe, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa mwanaume huyo a...
May 4, 2021
Biden aongeza uwezo wa Marekani kupokea wakimbizi Biden aongeza uwezo wa Marekani kupokea wakimbizi Rais Joe Biden ametangaza kwamba anaongeza mara nne ya idadi ya wakimbizi watakaoruhusiwa kuingia Marekani mwaka huu Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani: DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
May 4, 2021
Saudi Aramco beats quarterly profit forecast Saudi Aramco beats quarterly profit forecast May 04, 2021 Excelsio Media Share To: State-run oil producer Saudi Aramco reported a first-quarter net profit of $19.5 billion, a 30% rise, on the back of rising crude prices and higher refining margins. Share
May 4, 2021
AMBER LULU: DIAMOND ni Mume wa Taifa, kila mtu anataka kuwa na yeye, namuota kila siku, Mahaba yapo AMBER LULU: DIAMOND ni Mume wa Taifa, kila mtu anataka kuwa na yeye, namuota kila siku, Mahaba yapo AMBER LULU: DIAMOND ni Mume wa Taifa, kila mtu anataka kuwa na yeye, namuota kila siku, Mahaba yapo VIDEO: DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
May 4, 2021
Hivi karibuni, Diamond au Mondi alikwea pipa kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi wakati huu akiandaa albam yake mpya atakayoiachia baadaye mwaka huu. Tangu ajichimbie nchini humo ambako pia kuna watoto wake wawili aliozaa na mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Tiffah Dangote na Prince Nillan, wengi walidhani angeenda kuishi nyumbani kwa mzazi mwenzake huyo, jambo ambalo lilizua minong’ono kwamba huwenda wakarudiana. Hata hivyo, habari za uhakika ni kw...
May 4, 2021
Bill and Melinda Gates to divorce, shaking philanthropic world Bill and Melinda Gates to divorce, shaking philanthropic world May 04, 2021 Excelsio Media Share To: Billionaire benefactors Bill and Melinda Gates have decided to seek a divorce following 27 years of marriage, the couple said on Monday in a joint announcement that rocked the philanthropic world. Share
May 4, 2021
ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya kufikia siku ya mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga, beki wa kati wa zamani wa timu hizo, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’, amesema kuwa licha ya Simba kufanya vizuri na kuwa na kikosi kizuri lakini wanatakiwa wasiwadharau Yanga kwani wanayo nafasi ya kufanya vizuri katika mchezo huo. Bakari Malima baada ya kustaafu kucheza soka kwa sasa amegeukia kazi ya ukocha wa mpira, enzi zake alipokuwa mchezaji aliwahi kuzichezea timu hizo zote mbili za Simba na Y...
May 4, 2021
Mabeki wa kati wa kikosi cha Yanga wameweka wazi kwamba hawana hofu kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Mei 8, Uwanja wa Mkapa. Ni Abdalah Shaibu, Ninja chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nassredine Nabi na Dickson Job ambaye ni beki chipukizi ndani ya kikosi hicho kinachowania kutwaa taji la Ligi Kuu Bara. Ninja ambaye amekuwa kwenye ubora katika mechi za hivi karibuni amesema kuwa hana hofu kuelekea katika mchezo huo na anaamini kwamba watafanya vizuri. "Hak...
May 4, 2021
Hong Kong leader eyes fake news laws Hong Kong leader eyes fake news laws May 04, 2021 Excelsio Media Share To: Hong Kong leader Carrie Lam said the government was working on ‘fake news’ legislation to tackle ‘misinformation, hatred, and lies,’ as worries grow over media freedoms in the global financial hub. Share
May 4, 2021
Sarah Amkomesha Harmonize WAKATI akigulia majeraha ya kutemwa na mpenzi wake, Kajala Masanja, Msanii Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ameendelea kupata pigo lingine baada ya aliyedaiwa kuwa mkewe Sarah Michelotti kumrusha roho na kidume mwingine. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki chache zilizopita Harmonize kutaka maoni ya mashabiki zake iwapo amrejee Ex yupi kati ya Jacqueline Wolper na Sarah. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Harmo aliwauliza mashabiki zake amrejee nani huku ma...