vimarsana.com

Page 347 - Carousel Constructor Plugins News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Tesla, under scrutiny in China, steps up engagement with regulators - EXCELSIO | News & Information

Tesla, under scrutiny in China, steps up engagement with regulators Tesla, under scrutiny in China, steps up engagement with regulators May 03, 2021 Share To: Electric vehicle maker Tesla, facing scrutiny in China over safety and customer service complaints, is boosting its engagement with mainland regulators and beefing up its government relations team, industry sources said. Share

Simba yatoa tamko kughairishwa kwa Derby yao na Yanga

Simba yatoa tamko kughairishwa kwa Derby yao na Yanga Klabu ya Simba inapenda kutoa tamko kuhusu kuahirishwa kwa mchezo wake dhidi ya Yanga, uliokuwa ufanyike jana Mei 8, 2021 Mnamo majira ya saa saba mchana, tulipokea simu kutoka Bodi ya Ligi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikituelekeza kuhusu mapendekezo ya kuahirishwa kwa mchezo huo kutokana na maelekezo ya Serikali. Muda mfupi baadaye , tulipokea taarifa rasmi ya kimaandishi juu ya uamuzi huo kutoka kwenye mamlaka hizo zinzazosimamia mchezo wa soka nchini. Pamoja na kusikitishwa na uamuzi huo, sisi kama Klabu tulikubali hasa kwa kuzingatia kwamba wote tunafanya shughuli zetu chini ya mamlaka hizo na tunaamini kwamba kama wameamua kuchukua hatua hiyo basi wanazo sababu za msingi hatukuhoji.

Dozens injured in Jerusalem violence - EXCELSIO | News & Information

Dozens injured in Jerusalem violence May 09, 2021 Excelsio Media Share To: Clashes erupted between Palestinian protesters and Israeli police outside the Old City of Jerusalem as tens of thousands of Muslim worshippers prayed at al-Aqsa Mosque on Islam s holy night of Laylat al-Qadr. Share

Childish Gambino Ashutumiwa KUIBA Wimbo wa This is America

Jumatano wiki hii wimbo wa Childish Gambino This Is America ulitimiza miaka 3 tangu uachiwe rasmi na kuisumbua dunia ikiwemo kushinda tuzo 4 za Grammy 2019. Sasa Childish Gambino ameshtakiwa kwa madai ya kuiba wimbo huo. Rapa mmoja aitwaye Emelike Nwosuocha maarufu kama Kidd Wes, ameibuka na kudai kwamba Gambino ameiba mistari, maudhui na muundo mzima kwenye wimbo wake ambao aliuachia Septemba 2016 kupitia SoundCloud na baadaye aliupandisha YouTube. Kisha alienda mbali zaidi kwa kuusajili kwenye ofisi za hakimiliki nchini Marekani mwaka 2017 akiuandaa kuwa wimbo wa kwanza kwenye album yake. Kuthibitisha madai yake, Kidd Wes aliajiri mtaalamu wa masuala ya muziki (musicologist) ambaye alithibitisha madai ya Kidd baada ya kusikiliza nyimbo zote mbili. Nyaraka za mahakama zinasema. Hivyo Kidd Wes amefungua shtaka akidai fidia ikiwemo kukosa faida kwenye wimbo wake na pia fursa mbali mbali. Kwenye shtaka lake amewataja pia label ya RCA, Roc Nation na Young Thug aliyepiga back vocals.

Ukaguzi wa nyimbo wapigwa STOP

  Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Innocent Bashungwa, amesema kuwa serikali imesitisha utekelezaji wa kanuni za kukagua nyimbo za wasanii kabla hazijapelekwa kwenye Radio, Televisheni na majukwaa mbalimbali. Uamuzi huo umetolewa leo Mei 8, 2021, mara baada ya waziri mwenye dhamana hiyo kukutana na wadau wa muziki nchini wakiwemo wasanii wenyewe. Waziri Bashungwa amechukua uamuzi huo baada ya wadau wa muziki kupinga suala hilo wakidai haliwatendei haki wasanii. Hatua hii inakuja zikiwa zimepita siku kadhaa tu tangu BASATA walipouzia wimbo wa msanii Ney wa Mitego, kwa kumtaka abadili baadhi ya mashairi kwenye wimbo wake wa Mama, ambapo Ney mwenyewe alisema kwamba hayuko tayari kubadili chochote kwenye wimbo wake

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.