Headmen Colleges Of Development News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Headmen colleges of development. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Headmen Colleges Of Development Today - Breaking & Trending Today

Mpango mpya wa kuwarejesha masomoni wanafunzi waliopata mimba Tanzania utafanikiwa?


Mpango mpya wa kuwarejesha masomoni wanafunzi waliopata mimba Tanzania utafanikiwa?
Saa 6 zilizopita
Maelezo ya picha,
Karibu watoto 5,000 nchini Tanzania wanatarajiwa kunufaika na mpango wa elimu kwa mfumo usio rasmi katika awamu za mwanzo
Serikali ya Tanzania imetangaza mpango mpya wa kuwarejesha masomoni mabinti waliopata ama wanaopata ujauzito wakiwa mashuleni, mpango ambao utaanza ramsi kuanzia mwaka 2022.
Chini ya utaratibu wa kuboresha elimu ya sekondari Tanzania (SEQUIP), mabinti hao sasa watapata nafasi ya kuendelea na masomo yao waliyokatisha katika mifumo wa elimu wa kawaida.
April mwaka jana, Wizara ya elimu sayansi na teknolojia ilisema tu wanafunzi watanufaika na utaratibu wa SEQUIP, licha ya kugusia lakini haikuwa bayana kwamba wanaopata ujauzito watakuwa sehemu ya wanafukaika hao. ....

Sciencea Technology , Mdo Program , Sciencea Technology Start , Headmen Colleges Of Development , Collegea Development , Program New , Secretary General , Headmen Colleges , Next Tanzania , Why Government , Presently Program , Technology Start , Races Argument , ப்ரோக்ர்யாம் புதியது , செயலாளர் ஜநரல் , ஏன் அரசு , தொழில்நுட்பம் தொடங்கு ,