Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

Sciencea Technology News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Sciencea Technology. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Sciencea Technology Today - Breaking & Trending Today

Mpango mpya wa kuwarejesha masomoni wanafunzi waliopata mimba Tanzania utafanikiwa? - Vimarsana News

Mpango mpya wa kuwarejesha masomoni wanafunzi waliopata mimba Tanzania utafanikiwa?

Mpango mpya wa kuwarejesha masomoni wanafunzi waliopata mimba Tanzania utafanikiwa? Saa 6 zilizopita Maelezo ya picha, Karibu watoto 5,000 nchini Tanzania wanatarajiwa kunufaika na mpango wa elimu kwa mfumo usio rasmi katika awamu za mwanzo Serikali ya Tanzania imetangaza mpango mpya wa kuwarejesha masomoni mabinti waliopata ama wanaopata ujauzito wakiwa mashuleni, mpango ambao utaanza ramsi kuanzia mwaka 2022. Chini ya utaratibu wa kuboresha elimu ya sekondari Tanzania (SEQUIP), mabinti hao sasa watapata nafasi ya kuendelea na masomo yao waliyokatisha katika mifumo wa elimu wa kawaida. A...

Source: bbc.com