Vimarsana
Biggest News Aggregation in the World

June Information News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from June Information. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In June Information Today - Breaking & Trending Today

Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa China Xi Jinping watakutana, lakini kila upande unataka nini? - Vimarsana News

Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa China Xi Jinping watakutana, lakini kila upande unataka nini?

Marais hao wawili wanatarajiwa kuhudhuria mkutano wa kilele katika mji wa Uzbekistan wa Samarkand wiki hii, ni mara ya kwanza watakuwa wanakutana tangu Urusi kuivamia Ukraine. Lakini rais wa Urusi anatarajia nini na Xi wa China anatafuta nini kama malipo?

Source: bbc.com
Lazarus Group: Mjue Park Jin-hyok mdukuzi sugu wa 'jeshi la wadukuzi' wa Korea kaskazini - Vimarsana News

Lazarus Group: Mjue Park Jin-hyok mdukuzi sugu wa 'jeshi la wadukuzi' wa Korea kaskazini

Lazarus Group: Mjue Park Jin-hyok mdukuzi sugu wa 'jeshi la wadukuzi' wa Korea kaskazini 2 Julai 2021, 06:32 EAT Chanzo cha picha, Getty Images Anayatumia majina matatu - Park Jin-hyok, Pak Jin-hek na Park Kwang-jin.Lakini hakuna hakikisho kwamba yote ni majina yake halisi kwa hivyo usiyaamini . Mwaka wa 2016 wadukuzi wa Korea Kaskazini walipanga wizi wa $ 1bn kwenye benki ya kitaifa ya Bangladeshi na nusura watoroke na fedha hizo . Hata hivyo walifaulu kukwepa na dola milioni 81 . Kikosi cha wadukuzi wanaoungwa mkono na Korea Kaskazini kina mwanamme mmoja ambaye anatumia majina mbali mbal...

Source: bbc.com
Marekani yafanya mashambulizi ya angani dhidi ya washirika wa Iran huko Iraq na Syria ,kunani? - Vimarsana News

Marekani yafanya mashambulizi ya angani dhidi ya washirika wa Iran huko Iraq na Syria ,kunani?

Marekani imeanzisha mashambulio ya angani dhidi ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran huko Iraq na Syria, Pentagon imetangaza.

Source: bbc.com
Siku 100 za Rais Samia Suluhu: Jinsi serikali ya Muungano inaathiri utendaji wa serikali ya Zanzibar - Vimarsana News

Siku 100 za Rais Samia Suluhu: Jinsi serikali ya Muungano inaathiri utendaji wa serikali ya Zanzibar

Jinsi sera za Rais Samia kuhusiana na corona na kupinga kesi za kubambikiza zilivyoiathiri Zanzibar.

Source: bbc.com
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 14.06.2021: Coutinho, Cornet, Kane, Bellingham, Silva, Lingard, Fekir, Buffon - Vimarsana News

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 14.06.2021: Coutinho, Cornet, Kane, Bellingham, Silva, Lingard, Fekir, Buffon

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 14.06.2021: Coutinho, Cornet, Kane, Bellingham, Silva, Lingard, Fekir, Buffon Saa 8 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Klabu ya Leicester City imepanga kumsajili kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho (29), ingawa bado haijapeleka ofa rasmi, klabu hiyo iko kwenye mazugumzo ya kumnasa Mbrazili huyo ikiwezekana kwa ada ya £17m au kwa mkopo. (Mundo Deportivo - in Spanish) Klabu ya Leeds United inamtaka beki wa kushoto wa Lyon, Maxwel Cornet, (24) lakini dau walilotajiwa la £20m kwa ajili ya kumnasa nyota huyo wa kimataifa wa Ivory Coast, linawafanya kusita. ...

Source: bbc.com