vimarsana.com

Page 345 - Carousel Constructor Plugins News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

IGP Siro akutana na IGP wa Rwanda

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kulia) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama ikiwemo udhibiti wa makosa ya uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama ikiwemo udhibiti wa makosa ya uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya.

GrabPay Can Now Be Used To Reload Your Autosweep and EasyTrip RFIDs | CarGuide PH | Philippine Car News, Car Reviews, Car Prices

GrabPay Can Now Be Used To Reload Your Autosweep and EasyTrip RFIDs Good news: you can now use GrabPay to top up both your Autosweep RFID and EasyTrip RFID. This helps make reloading contactless toll payments easier for those who need to traverse the major expressways in Luzon. EasyTrip has been one of Grab’s partners through CIS Bayad Center, Inc., since Grab rolled out its Bill Payment feature, while Autosweep went live during the first quarter of 2021. These systems allow commuters to pass through toll gates without using a stub or paying with cash, which is safer as well as easier and faster.

Mume Aua Mkewe Kisha Naye Kujimaliza Kwa Kujinyonga Kisa Kagongewa

Edward Manyangu (41) Mkazi wa Wilaya ya Busega anadaiwa kumuua Dalali Maunga (41) kwa kumpiga na kitu kizito kichwani baada ya kutokea Ugomvi ambapo Mwanaume alimtuhumu Mkewe kuwa na uhusiano nje ya Ndoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao, amesema baada ya kutekeleza mauaji hayo, Manyangu alijiua kwa kujinyonga kwa kamba aliyofunga kwenye Mti ulioko nje ya nyumba yao Kwa mujibu wa ujumbe wa maandishi unaoaminika kuandikwa na Manyangu, alikuwa akimtuhumu Mkewe kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Mwanaume mwingine. HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA

China demographic crisis looms as population growth slips to slowest ever - EXCELSIO | News & Information

China demographic crisis looms as population growth slips to slowest ever China demographic crisis looms as population growth slips to slowest ever May 11, 2021 Share To: China s population grew at its slowest in the last decade since the 1950s as births declined, sowing doubt over Beijing s ability to power its economy as it succumbs to the same ageing trends afflicting developed nations like Japan. Share

South Korea s Moon says time to take action on North Korea - EXCELSIO | News & Information

South Korea s Moon says time to take action on North Korea South Korea s Moon says time to take action on North Korea May 10, 2021 Excelsio Media Share To: South Korean President Moon Jae-in said on Monday he sees his final year in office as the last chance to achieve a lasting peace with North Korea, and said it was time to take action amid stalled talks over Pyongyang s nuclear and missile programs. Share

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.