vimarsana.com

Page 346 - Carousel Constructor Plugins News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Simba kukwea pipa kuifuata Kaizer Chiefs kesho

Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa kesho Mei 11 kinatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Afrika Kusini. Simba ni wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa sasa wametinga hatua ya robo fainali baada ya kuwa vinara wa kundi A wakiwa na pointi 13. Mei 15 itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni robo fainali ya kwanza. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu, Gomes amesema kuwa wanatarajia kuondoka leo Jumatatu kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wao. Jumnne alfajiri (saa 9:45) tunatarajia kuondoka Tanzania kuelekea Afrika Kusini, .

Ajipiga risasi baada ya kuwauwa sita katika sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa

Mwanaume mmoja mwenye silaha ajiuwa kwa risasi baada ya kuwapiga risasi na kuwaua watu sita katika sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa huko Colorado Springs siku ya Jumapili, polisi wameeleza. Milio ya risasi ilisikika katika bustani ya nyumbani ambayo inahamishika ambapo familia ilikutana kusheherekea. Mshukiwa ambaye ni mpenzi wa msichana aliyekuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa , alifika nyumbani hapo na kuanza kupiga risasi watu waliokuwa katika sherehe hiyo kabla ya kujiua yeye mwenyewe, idara ya polisi ya Colorado Springs imesema. Sababu ya shambulio hilo halijafahamika mpaka sasa. Watu wote waliopigwa risasi walikuwa watu wazima ingawa kulikuwa na watoto katika sherehe hiyo katika wakati huo.

Greece reopens beaches, hoping to lure tourists - EXCELSIO | News & Information

Dalili zitakazokuonesha msichana anayekupenda ila anashindwa kukuambia

Huwa anapenda kukugusa sehemu yako ya mwili.  Haoni aibu kugusa sehemu ya mwili wako. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomasa au hata kukumbatia. Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahishishia kazi ya kuwa na wewe. Kupenda kucheka tena muda mwingine kwa nguvu  Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli. Wivu. Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi na hupenda yale afanyiwe yeye tu hata kama sio mpenzi wako.

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.