Stay updated with breaking news from Via dedicated. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Mke wa rais: Mfahamu Angeline Ndayubaha Ndayishimiye mke wa rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Wake wa marais: Mfahamu mke wa rais wa DRC Denise Nyakeru Nkana Tshisekedi Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Denise Nyakeru/Facebook Maelezo ya picha, Hadithi ya maisha ya Bi Denise Tshisekedi imekuwa na kusikitisha kwa upande mmoja na upande mwingine ya kutia moyo Ni watu wenye ushawishi katika uongozi wa kila siku wa nchi zao, hata hivyo si kila siku utasikia juu ya maisha yao na vipawa vyao. Hawa ni wenza wa marais, ambao baadhi yao ni wanasiasa na wanaharakati ambao wamekuwa bega kwa bega katika safari za kisiasa za wenza wao mpaka kushika hatamu za madaraka. Wiki hii tunakuletea mfululizo wa makala kuhusu wenza wa marais katika eneo la Afrika Mashariki na Maziwa Makuu ambapo leo ....
Mke wa rais: Mfahamu Angeline Ndayubaha Ndayishimiye mke wa rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Dinah Gahamanyi Imeboreshwa 19 Julai 2021, 11:09 EAT Chanzo cha picha, Angeline Ndayizeye Ni watu wenye ushawishi katika uongozi wa kila siku wa nchi zao, hata hivyo si kila siku utasikia juu ya maisha yao na vipawa vyao. Hawa ni wenza wa marais, ambao baadhi yao ni wanasiasa na wanaharakati ambao wamekuwa bega kwa bega katika safari za kisi a sa za wenza wao mpaka kushika hatamu za madaraka. Wiki hii tunakuletea mfululizo wa makala kuhusu wenza wa marais katika eneo la Afrika Mashariki tukianza na mke wa Rais wa Burundi. ....