Mtumiaji wa Twitter aliyejitambulisha kama “Thug Life” alimtuhumu Superstar huyo wa afrobeats kuwa mwaka 2020 aliiba kazi ya Victor AD baada ya Davido kusikia wimbo huo wakiwa studio wanarekodi wimbo wa Victor AD Tire You na baada ya hapo inadaiwa alimzumzuia (block) kwenye mitandao yote ya kijamii.
Sio Davido wala Victor AD wametoka kuthibitisha taarifa hizi ambazo zinaendelea kasambaa kupitia mtandao wa Twitter
Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
Panicked drivers swarm gas pumps in U.S. Southeast
Panicked drivers swarm gas pumps in U.S. Southeast
May 12, 2021
Share To:
Drivers in the Southeast formed lines to fill up tanks from the dwindling number of retail gas stations with fuel to sell, disregarding government pleas not to hoard as the Colonial Pipeline shutdown entered a sixth day. Share
Kimenuka : Shaffih Dauda Amshukia Haji Manara Dunia yake ya ujanja Ujanja imefeli
Reposted from @shaffihdauda The opposite of love is not hate, it s indifference, the opposite of art is not ugliness, it s indifference, the opposite of faith is not heresy, it s indifference, and the opposite of life is not death, it s indifference, mwenye kuelewa basi aelewe
Huyu Mtu wa kuitwa Haji Manara kuna dunia yake anayoishi akiamini ni dunia salama sana, lakini dunia hiyo ya ujanja ujanja kwa Watu waelewa wanaelewa ni dunia ndogo ya kawaida, dunia ya mbio za sakafuni kuishia ukingoni
Kwanza watu watofautishe kati ya Haji kama Muajiriwa wa Simba anayewakilisha Msimamo wa Simba eidha kimaandishi au Matamko, huyo sisi hatuna shida nae ila kuna Haji yule binafsi anaewakilisha mawazo yake binafsi kama mdau au Shabiki,huyu ndie Haji ninayemzungumzia hapa
Israel trade blows as unrest ignites Gaza
Israel trade blows as unrest ignites Gaza
May 11, 2021
Share To:
Palestinian militants fired rocket barrages into Israel from Gaza for a second day on Tuesday and Israeli warplanes struck the enclave in a deepening conflict in which at least 26 people in Gaza and two in Israel have been killed. Share