vimarsana.com

Page 342 - Carousel Constructor Plugins News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

DC Msafiri apiga marufuku watoto chini ya miaka mitano kulipia matibabu

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kituo cha afya Makambako kuacha mara moja kuwatoza fedha watoto chini ya miaka mitano kwa ajili ya matibabu kwa kuwa ni kinyume na sera ya Afya. Akizungumza na kituo hiki kufuatia malalamiko ya baadhi ya wanachi wa halmashauri ya mji wa makambako kulalamikia kutozwa shilingi 4000 kwa ajili ya matibabu ya watoto walio na umri chini ya miaka mitano wanapohitaji kumuona daktari, Mkuu wa wilaya amesema Sera ya afya inataka mtoto chini ya miaka mitano kutibiwa bure hivyo wanapaswa kutekelezaa sera hiyo kikamilifu. “Hatua hizo za makamabko siziungi mkono hata kidogo,na pia nazikataa kwasababu walishawahi kuja kuniambia kwamba wamefuta basi wasirudie na sio sahihi kumchukua mtoto na kumwambia utakuja kwa rufaa”alisema Ruth Msafiri

Eating Foods From Commercials (McDonalds, Burger King, Pizza Hut) - EXCELSIO | News & Information

Simba Yanasa Siri za Kaizer

JANA Jumatano, Kaizer Chiefs ilitarajiwa kucheza mechi ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini dhidi ya Moroka Swallows, ambapo Simba walipanga kuufuatilia mchezo huo kwa lengo la kuzinasa mbinu za wapinzani wao hao.   Uamuzi wa Simba kufanya hivyo umekuja ikiwa ni kuelekea mchezo wao wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa Jumamosi hii.   arudiano ni Mei 22, mwaka huu Uwanja wa Mkapa, Dar.   Kwa sasa Simba tayari ipo nchini Afrika Kusini ikiendelea na maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo wa Jumamosi.   Akizungumza na Spoti Xtra, Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, alisema kuwa wanawatazama wapinzani wao kwa ukaribu ili kujua namna ya kuwakabili kwa kuwa wanahitaji matokeo mazuri.

Buy a Peugeot 3008 or 5008, Get A Swanky French Dinner For Free | CarGuide PH | Philippine Car News, Car Reviews, Car Prices

Buy a Peugeot 3008 or 5008, Get A Swanky French Dinner For Free Peugeot Philippines and French specialty restaurant Metronome recently came together to offer an experience worthy of their clients. Until June 2021, every purchase of a Peugeot 3008 SUV or a Peugeot 5008 SUV will come with gift vouchers that can be used for up to two visits to Metronome. “While we’ve always seen the purchase of a Peugeot as a reward in itself, we felt that offering something that people have been missing would be an added treat. Partnering with Metronome, a French fine dining restaurant which has also gained its fair share of followers, was a natural course of action. We’re very excited to offer our customers a great ride and a great dining experience in one,” said Dodie Gañac, Peugeot Philippines’ Director for Sales. “On top of these, our dealerships have come up with some fantastic ownership packages that will surely be of interest to discerning car buyers. We’d like to invite peopl

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.